RAIS SAMIA AMPONGEZA MFALME NARUHITO


RAIS SAMIA AMPONGEZA MFALME NARUHITO

#KAZIINAONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza na kumtakia heri ya siku ya mfanano wa siku yake ya kuzaliwa Mfalme Naruhito wa Japan.

Katika mtandao wake wa kijamii Rais Samia

ameandika, "Kwa niaba ya Serikali na watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu mwenyewe, napenda kukutumia salamu za dhati Mtukufu Mfalme Naruhito, Mfalme wa Japan, katika tukio hili la kuadhimisha sikukuu ya miaka 65 ya kuzaliwa kwako,

Naomba utawala wako uendelee kuwa na mafanikio na ustawi katika nyanja zote, huku ukiendelea kuiongoza nchi yako kwa nguvu, maendeleo na mafanikio katika miaka ijayo" Rais Samia.

*#KAZIINAONGEA*

Post a Comment

0 Comments