DKT TULIA ASHIRIKI MAZISHI YA NDUGULILE
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)Dkt.Tulia Ackson, ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dkt ,Faustune Ndugulile.
Ndungulile aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika ambaye alifariki Dunia usiku wa kuamkia Novemba 27 mwaka huu nchini India alikopelekwa kwa ajili ya matibabu.Dkt. Tulia ameshiriki Mazishi hayo leo Desemba 3,2024 yaliyofanyika Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
0 Comments