DKT. BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA NISHATI WA VIONGOZI - AFRIKA

 


DKT. BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA NISHATI WA VIONGOZI - AFRIKA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300)  inayofanyika leo Januari 27, 2025 jijini Dar es salaam. 

Taarifa zaidi zitakufikia kadri zinavyoendelea kupatikana.




Post a Comment

0 Comments