RAIS DKT. SAMIA ATETA NA MKURUGENZI WHO


RAIS DKT. SAMIA ATETA NA MKURUGENZI WHO

#KAZIINAONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt.Tedros Adhanom Ghebreyesus. 

Ambapo amefanya mazungumzo na kiongozi huyo katika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Januari 20, 2025,

 ikiwa ni miezi miwili na siku kadhaa tangu Mkurugenzi Mteule wa WHO Kanda ya Afrika hayati Dkt. Faustine Ndungulile kufariki dunia Novemba 27, 2024.

*#KAZIINAONGEA*

Post a Comment

0 Comments