RAIS SAMIA KUWAPA HADHI MAALUM DIASPORA ILI KUSHIRIKI MAENDELEO YA NCHI
#KAZIINAONGEA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameweka wazi kuwa mojawapo ya sera yake ya mambo ya nje ya Tanzania kwa sasa ni kuwapa Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) hadhi maalumu ili waweze kushiriki katika maendeleo ya Tanzania.
Ras Dkt. Samia ameyasema hayo katika hafla ya sherehe za mwaka mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam ambayo imefanyika Januari 14,2025.
*#KAZIINAONGEA*
0 Comments