SERIKALI YAZIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU SEKTA YA NISHATI YA UMEME
*●Yawataka Watanzania kuwa na subira kuwezesha matengenezo*
Serikali kupitia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko imetoa rai kwa Watanzania kuwa na subira katika kipindi ambacho Serikali inaendelea na matengenezo ya miundombinu ya kusambaza umeme.
Dkt. Biteko amebainisha kuwa Serikali imeshatoa fedha ya matengenezo ya miundombinu ya umeme na kazi inaendelea, lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora zaidi na za uhakika.
*#KAZIINAONGEA*
0 Comments