RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 TANGU KUANZA KWA MAFUNZO YA UONGOZI KWA WANAWAKE TANZANIA
#KAZIINAONGEA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam Februari 21, 2025.
*#KAZIINAONGEA*
0 Comments